Washiriki wanafanya kazi muhimu ya kusaidia watu wenye ulemavu wa kusoma. Tunashirikiana na maktaba ili kuleta Bookshare® kwenye nchi maalum. Pia tunashirikiana na waandishi ili kugeuza vitabu pepe viwe kwenye maumbizo ya walemavu na kuvijumuisha kwenye maktaba ya Bookshare. Jinfunze jinsi unaweza kuwasaidia watu wenye ulemavu kwenye nchi yako.

  • Maktaba: Leta Bookshare kwa watu wenye ulemavu kwenye nchi yako.
  • Wachapishi: Jiunge na zaidi ya wachapishi 850 wanaounga mkono Bookshare.
  • Waandishi: Gawiza vitabu vyako kwa wanachama wetu.