Kila mtu anastahiki haki ya kusoma.
Bookshare ni maktaba kubwa zaidi ulimwenguni ya vitabu pepe kwa watu wenye kasoro za kuona, kasoro za kujifunza, kasoro za mwili, na pingamizi zingine za kusoma.
Kusoma ni rahisi zaidi kwa kutumia Bookshare!
Soma Kwa Njia Yako

Vitabu 908,765!

Soma Kokote

Vitabu Vya Bure

Je, Nani Anatumia Bookshare?

Nilipoanza kutumia Bookshare kwa mara ya kwanza, nilizidiwa na hisia. Kwa mara ya kwanza maishani mwangu, niliweza kusoma bila kupokea usaidizi kutoka kwa familia au wahudumu. Sasa ninaweza kujitegemea zaidi na ninaweza kutafuta kazi.
- Suraj, mtu mzima kipofu

Bookshare ni mojawapo kati ya rasilimali chache sana za jamii ya walemavu, hasa ikiwa hawaongei Kiingereza. Kupitia Bookshare, niliweza kuwa mwanafunzi wa kwanza kipofu kukubuliwa kwenye Instituto de Estudios Superiores de Tamaulipas.
- Gerardo, mwanafunzi kipofu

Kabla ya Bookshare, nilisoma kiasi kilichohitajika ili kufuzu mitihani yangu shuleni. Hayo yote yalibadilika nilipopata Bookshare. Mwaka huu, nimesoma vitabu zaidi kuliko vitabu nilivyosoma maisha yangu yote.